英文字典,中文字典,查询,解释,review.php


英文字典中文字典51ZiDian.com



中文字典辞典   英文字典 a   b   c   d   e   f   g   h   i   j   k   l   m   n   o   p   q   r   s   t   u   v   w   x   y   z       


安装中文字典英文字典辞典工具!

安装中文字典英文字典辞典工具!










  • jinsi ya kutumia crdb internet banking | JamiiForums
    habari zenu wadau,naomba msaada wenu wakuu nimejiunga na crdb internet banking huu mwezi wa 3 sasa ila kila nikijalibu kufanya malipo online yanagoma ninachoambiwa ni, authorization failed, naombeni mnisaidie kunielimisha ktk ilo, maana kama ni helo ktk account kuna hela ya kutosha
  • CRDB Internet Banking | Page 2 | JamiiForums
    Kwa kifupi CRDB Bank, wametofautisha hizi huduma Yaani kuna (1 ) CRDB Internet Banking (2 ) CRDB Internet Enabling Service Tofauti ya hizi huduma mbili ni kwamba, CRDB Internet Banking ni huduma inayokuwezesha ku-access account yako online, na unaweza kufanya malipo kwa mtu mwingine yoyote mwenye akaunti crdb na si bank nyingine
  • Pata elimu kidogo kuhusu makato CRDB | JamiiForums
    Pia kama umetoa hela ATM usiwe na tabia ya kuchukua risiti, angalia salio lako kupitia internet banking ni free Kwa wanachuo wanaokaa offcampus mathalan unataka kutoa 400,000 = ukitoa kwa wakala utakatwa 6300 = ila kwenye ATM ingekatwa 1500 = tu, unaonaje kama ungepanda haisi shs 200 chapu ukaenda ndan ukatoa na kurudi 200 ukawa umetumia gharama 1900 kulikokukatwa 6500 =?
  • Namna ya Kujiunga na Internet Banking Kwa Benki ya CRBD
    WanaJM napenda kujiunga na Internet banking mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan
  • CRDB Internet Banking - JamiiForums
    Ukifungua akaunt crdb wanakupa choice ya kuchagua visa or mastercard Ukishapata atm card unaomba huduma za internet banking then wanakupa 4m unajaza and ndan ya 24 hrs unakuwa tayar umeshaunganishwa
  • Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB | Page 3 . . .
    e) Je unaijua faida na hasara ya internet banking? I GHARAMA ZA KUANGALIA SALIO Kwa njia ya :-a) ATM NMB shs 360, CRDB shs 354 = b) Simbanking NMB 400, CRDB 400 = c) Kwa wakala NMB shs 2000, CRDB 2000 = d) Teller Over the counter e) II
  • CRDB na fees zao. . . !? - JamiiForums
    Ninachofahamu ni kuwa, ukiwa unatumia internet banking charges kwa mwezi ni Tshs 1000 Na card (VisaCard) fee ni Tshs 8000 kwa mwaka Kinyume na hapo wanatakuwa wamekuibia au wameanzisha utaratibu mpya ambao ni ghali sana na itabidi kuwambia fasta kwa kweli
  • CRDB Bank funga kazi! Unaweza kutuma pesa bure, kwa . . .
    Diaspora Banking Team 📧tanzanite@crdbbank co tz Call Center 📧info@crdbbank co tz ☎️+255 714-197700 +255 755-197700 +255 719-197700 Paskali, Washington DC Marekani Rejea za Mwandishi Kuhusu CRDB Bank CRDB Bank -Lumumba ni "Maua" na


















中文字典-英文字典  2005-2009